Ofa! Ofa! Ofa! 14-3-2018

 “Tupo hapa Kurahisisha Mawasiliano Yako”

Je, unahitaji huduma yoyote inayohusiana na lugha (Kiswahili au Kiingereza), lakini haufahamu sehemu ya kuipata?


Usijali! Kutana na Wataalamu wa lugha wa Kujitegemea   (Kiswahili na Kiingereza) ambao watakusaidia huduma mbalimbali zinazohusiana na lugha, hasa Kiswahili na Kiingereza.


Tembelea tovuti zetu ili kupata huduma mbalimbali zinazohusiana na lugha. Tovuti hizi ni Swahili Platform au “Ulingo wa Kiswahili"

Kama unahitaji huduma za Tafsiri (Kiingereza au Kiswahili); Bofya hapa.  

Kama unahitaji huduma za Uhariri (Kiswahili au Kiingereza); Bofya hapa. 

Kama unataka kujifunza Kiswahili kama lugha ya kwanza, ya pili au ya kigeni; Bofya hapa

Kama unahitaji huduma za Ukalimani (Kiingereza au Kiswahili); Bofya hapa

Kama unahitaji kuwasilisha mawazo yako katika maandishi; Bofya hapa

Kama unataka kutafiti kuhusu lugha za Tanzania; Bofya hapa

Kusoma kwa KiingerezaBofya hapa