HUDUMA ZA UKALIMANI

Ukalimani wa Ana kwa Ana
Kwa sasa, huduma hii inapatikana ndani au jirani na mikoa ya Tabora na Arusha (Tanzania).  

Mteja anaweza kumkodi mkalimani ili kurahisisha mawasiliano  na wenyeji.  

Kumbuka kwamba, lugha ya Kiswahili ni muhimu katika mawasiliano nchini Tanzania. Hii ni kwa sababu, Watanzania wengi ni wazungumzaji wa Kiswahili. 


Lugha Zilizolengwa
Kwa sasa lugha za Kiswahili na Kiingereza ndizo zimelengwa katika huduma hii.

Bei

Bei ya kawaida imepangwa ili kumuwezesha kila mteja kuimudu. Bei kwa huduma hii ni Dola za Kimarekani 45 kwa saa.

Kama unahitaji huduma hii, tafadhali wasiliana nasi kupitia:
                  au