UTAFITI WA LUGHA


Mpya! (05-09-2017): Bofya Hapa Kuisoma Ripoti ya Utafiti Kuhusu Makosa katika Lugha ya Kiswahili, Yanayopatikana Ndani ya Habari, katika Tovuti za Vyombo vya Habari vya Kimataifa
       .........................................................................................................
       .........................................................................................................                      
                           MAELEZO KUHUSU SEHEMU HII
Utafiti wa lugha ni muhimu kwa maendeleo ya lugha yoyote. 

Kupitia tafiti, watumiaji wa lugha hunufaika kwa namna mbalimbali kama vile: kuimarisha utumizi wao wa lugha.
 
Pia, utafiti wa lugha husaidia kuhifadhi lugha kwa ajili ya vizazi vijavyo.
 
Hivyo, watafiti wa lugha (Kwa kiasi kikubwa Kiswahili na lugha zingine za Kiafrika zinazozungumzwa nchini Tanzania) wanakaribishwa kufanya kazi na sisi.

Wasiliana nasi kupitia: ulingokiswahili@gmail.com 
                          au