HUDUMA ZA UHARIRI

 

Lugha Zilizolengwa
Huduma hii kwa sasa inatolewa katika Kiswahili. Matini/Nyaraka ya Kiswahili  itahaririwa na  Wanaisimu Mahiri wa Kiswahili.

Mbinu mbalimbali zitatumika ili kuhifadhi ubora wa matini.

Watu binafsi, taasis au kampuni, na wengineo, wanakaribishwa kupata huduma hii kutoka kwetu.

Usiri 
Wahariri wetu wataihifadhi matini/nyaraka katika hali ya usalama.

Bei 
Bei ya kuridhisha imepangwa kulingana na aina ya matini/nyaraka.

Dola za Kimarekani 5 (Maneno 5-300). Bei hii ni maalumu kwa matini kutoka nyanja zifuatazo: 
Isimu, Utawala, Utalii, Elimu, Siasa, Michezo na Burudani, Masuala ya Kijamii, Historia, Vifaa vya Nyumbani, Sanaa, Bidhaa za Kawaida

Dola za Kimarekani 6 (Maneno 301 na Kuendelea). Bei hii inahusu matini kutoka nyanja zifuatazo: 
Biashara, Kompyuta, Masoko, Muziki, Usafiri, Majengo,
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

KUMBUKA
Kama una matini ambayo haimo katika orodha ya matini zilizoorodheshwa hapo juu, tafadhali usisite kuwasiliana nasi ili  kuona uwezekano wa kuihariri.

Wasiliana nasi kupitia: ulingokiswahili@gmail.com 
                                  au