KUHUSU SISI


Ulingo wa Kiswahili na "Swahili Platform" ni tovuti ambazo zinalenga kutoa huduma zinazohusina na masuala ya Kiisimu. Kwa sasa, lugha zilizolengwa ni Kiswahili na Kiingereza.


Tovuti hizi zinaambatana kwa pamoja. "Ulingo wa Kiswahili" ni maalumu kwa  wazungumzaji wa Kiswahili wa kiwango cha juu, wakati “Swahili Platform” ni maalumu kwa wazungumzaji wa Kiswahili wa kiwango cha awali na kati.


Mwanzilishi wa tovuti hizi ni Marco Henry-Mwanaisimu wa Kujitegemea wa Kiswahili, ambaye aliamua kutumia muda wake mwingi kufanya kazi zinazohusiana na mada za Kiisimu. (Kiswahili na Kiingereza).


Pia, kwa sasa, Bw.Marco anafanya kazi kama timu, kwa kushirikiana na Wanaisimu wengine wa  Kiingereza na Kiswahili ili kutoa huduma za Kiisimu  zilizo na ubora. 


Tafadhali! usisite kuwasiliana nasi kama ungependa kufanya kazi na timu yetu. Tupo hapa kwa ajili ya kujishughulisha na mada za Isimu.

Asante!

Mr. Marco Henry








-Mwanzilishi wa Tovuti hii
-Mwezeshaji wa Isimu katika Tovuti hii



 Kiwango cha Elimu
-Shahada ya Awali ya Isimu katika Kiswahili (Bachelor of Arts in Kiswahili Linguistics)
-Stashahada ya Uzamili katika Elimu (Postgraduate Diploma in Education)
............................................................................................................

 Mr.Moshi Saidi
  








-Mwezeshaji wa Isimu katika Tovuti hii

 Kiwango cha Elimu 
-Shahada ya Awali ya Kiingereza (Bachelor of Arts in English)
-Stashahada ya Uzamili katika Elimu (Postgraduate Diploma in Education)

............................................................................................................. 

Bofya hapa kusoma kwa Kiingereza